Baadhi ya wadau
waliohudhuria mkutano wa kujadili Mpango Kazi wa Kuendesha Shughuli za Serikali
kwa Uwazi ( OGP) wa Awamu ya Tatu wakimsikiliza
Katibu Mkuu Ikulu Bw. Peter Ilomo
(hayupo pichani) wakati akiwasilisha hotuba ya ufunguzi kwa niaba ya Waziri wa
Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.
Angellah J. Kairuki (Mb) uliofanyika katika ukumbi wa mikutano Ikulu jijini
Dar es Salaam.
|
No comments:
Post a Comment