Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Viongozi na Wananchi katika Halmashauri ya Wilaya ya Masasi, Kijiji cha Lupaso Mkoani Mtwara wakati wa Ibada maalum ya kumbukizi ya miaka mitano (5) ya kifo cha Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Benjamin William Mkapa.
Wananchi wakisikiliza hotuba ya Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi wakati wa
Ibada maalaum ya kumbukizi ya miaka mitano (5) ya
kifo cha Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Hayati Benjamin William Mkapa iliyofanyika katika Halmashauri ya
Wilaya ya Masasi, Kijiji cha Lupaso Mkoani Mtwara.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi (watatu kutoka kulia) akifuatilia Ibada
maalum
ya kumbukizi ya miaka mitano (5) ya kifo cha Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Benjamin William Mkapa iliyofanyika katika
Halmashauri ya Wilaya ya Masasi, Kijiji cha Lupaso Mkoani Mtwara. Wengine ni
viongozi mbalimbali walioshiriki Ibada hiyo.
Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi (watatu
kutoka kulia) akielekea kushiriki Ibada maalum ya kumbukizi ya
miaka mitano (5) ya kifo cha Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Hayati Benjamin William Mkapa iliyofanyika katika
Halmashauri ya Wilaya ya Masasi, Kijiji cha Lupaso Mkoani Mtwara. Kushoto kwake
ni Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,
Mhe.George Simbachawene na kulia kwake ni mjane wa Hayati Benjamin Mkapa ambaye ni Bi. Anna Mkapa.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George
Simbachawene akiwasili nyumbani kwa aliyekuwa Rais
Mstaafu wa Awamu ya Tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Benjamin
William Mkapa kijijini Lupaso wakati wa Ibada
maalum ya
kumbukizi ya miaka mitano (5) ya kifo cha Rais huyo iliyofanyika
kijijini hapo. Kushoto
kwake ni Katibu Mkuu wa ofisi hiyo Bw. Juma Mkomi.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.
George Simbachawene akiweka
shada la maua kwenye kaburi la Rais Mstaafu wa Awamu ya
Tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Benjamin William Mkapa
wakati wa Ibada maalum ya kumbukizi ya miaka mitano (5) ya kifo cha Rais huyo
iliyofanyika katika Halmashauri ya Wilaya ya Masasi, Kijiji cha Lupaso Mkoani
Mtwara.
Sehemu ya Wakurugenzi wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora wakiwa Ibada maalum ya kumbukizi
ya miaka
mitano (5) ya kifo cha Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Hayati Benjamin William Mkapa iliyofanyika katika Halmashauri ya Wilaya ya Masasi, Kijiji
cha Lupaso Mkoani Mtwara.
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa
Umma, Bw. Juma Mkomi akitoa utambulisho wa viongozi na wageni walioshiriki
Ibada maalum ya kumbukizi ya miaka mitano (5) ya
kifo cha Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Hayati Benjamin William Mkapa iliyofanyika
katika Halmashauri ya Wilaya ya Masasi, Kijiji cha
Lupaso Mkoani Mtwara.
Wananchi wakiwa katika Ibada maalaum ya kumbukizi
ya miaka mitano (5) ya kifo cha Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Hayati Benjamin William Mkapa iliyofanyika katika
Halmashauri ya Wilaya ya Masasi, Kijiji cha Lupaso Mkoani Mtwara.
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa
Umma, Bw. Juma Mkomi (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Katibu
Mkuu, Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Bw. Nicholas Mkapa (kulia
kwake) na Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na
Usimamizi wa Rasilimaliwatu wa ofisi hiyo, Bi. Salome Kessy (wa kwanza kulia)
kabla ya kuanza kwa Ibada maalaum ya kumbukizi ya miaka mitano (5) ya kifo
cha Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati
Benjamin William Mkapa iliyofanyika katika Halmashauri ya Wilaya ya Masasi, Kijiji
cha Lupaso Mkoani Mtwara.
Sehemu ya Wakurugenzi wa
Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora wakiwa katika Ibada maalum ya kumbukizi
ya miaka mitano (5) ya kifo cha Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Hayati Benjamin William Mkapa iliyofanyika katika Halmashauri
ya Wilaya ya Masasi, Kijiji cha Lupaso Mkoani Mtwara.
Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es
Salaam, Mhadhama Kardinali Pengo akiongoza Ibada maalum ya kumbukizi ya miaka
mitano (5) ya kifo cha Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Hayati Benjamin William Mkapa iliyofanyika katika Halmashauri ya
Wilaya ya Masasi, Kijiji cha Lupaso Mkoani Mtwara.
Viongozi mbalimbali wakiwa katika Ibada maalum
ya kumbukizi ya miaka mitano (5) ya kifo cha Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Benjamin William Mkapa iliyofanyika
katika Halmashauri ya Wilaya ya Masasi, Kijiji cha Lupaso Mkoani Mtwara.






No comments:
Post a Comment