Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi
wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene akiwasilisha Hotuba kuhusu Makadirio
ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora kwa mwaka wa fedha
2025/26 leo Aprili 23, 2025 Bungeni jijini Dodoma.
Viongozi na Wakuu wa Taasisi wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI
na Utawala Bora wakifuatilia Hotuba
ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora Mhe. George Simbachawene kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi hiyo
kwa mwaka wa fedha 2025/26 leo Aprili 23, 2025 Bungeni jijini Dodoma.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi
wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene akizungumza jambo na Viongozi
wa Ofisi yake baada ya kuwasili Bungeni kwa ajili ya kuwasilisha
Hotuba ya Bajeti ya Ofisi hiyo kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa fedha 2025/26 leo Aprili 23, 2025
Bungeni jijini Dodoma.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na Wakuu wa Taasisi wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora kabla ya kuwasilisha Hotuba kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora kwa mwaka wa fedha 2025/26 leo Aprili 23, 2025 Bungeni jijini Dodoma.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi
wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene akifurahia jambo na Katibu wa
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, Bw. Mick Kiliba. Wa kwanza kulia
ni Mkurugenzi Mkuu, Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA), Mhandisi Benedict Ndomba.
Katibu Mkuu-IKULU, Bw. Mululi Mahendeka (kulia) akisalimiana
na Katibu Mkuu-UTUMISHI Bw. Juma Mkomi (katikati) na Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi
hiyo Bw. Xavier Daudi (kushoto)
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi
wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene akiwasili Bungeni kuwasilisha Hotuba
ya Bajeti ya Ofisi yake kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa fedha 2025/26 leo Aprili 23, 2025
jijini Dodoma.






No comments:
Post a Comment