MKUU WA MKOA WA DODOMA, MHE. ROSEMARY SENYAMULE AMEFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA MJI WA SERIKALI MTUMBA JIJINI DODOMA IKIWEMO OFISI YA RAIS-UTUMISHI
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule amefanya ziara ya kutembelea Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma ikiwemo
Ofisi ya Rais-UTUMISHI kwa lengo la kukagua maendeleo ya ujenzi wa Mji huo.
No comments:
Post a Comment