Na.Lusungu Helela - SINGIDA
Amesema dhamira hiyo ya kuhakikisha
waombaji kazi wote wanafanya usaili kunasaidia
kuwapata watumishi wenye sifa stahiki katika utumishi wa umma na kuondoa dhana
ya upendeleo iliyokuwa imejengeka miongoni mwa watu
Hata hivyo, Mhe.Simbachawene ametumia fursa hiyo kuwasihi waombaji kazi kuhakikisha wanaweka vyeti vyao vinavyotakiwa ili kuepuka na mchujo katika hatua za awali.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene
akizungumza na wasailiwa wakati alipotembelea kituo cha usaili wa kada za
Ualimu Mkoani
Singida ili kujionea mwenendo wa zoezi hilo.
Baadhi ya Wasailiwa wa kada ya Ualimu wakimskiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.George Simbachawene wakati alipotembelea kituo cha usaili wa kada za Ualimu Mkoani Singida ili kujionea mwenendo wa zoezi hilo,
Mkuu wa Mkoa wa ya Singida Mhe. Halima Dendego akizungumza leo
wakati alipotembelea kituo cha usaili wa kada za Ualimu
Mkoani Singida ili kujionea mwenendo wa zoezi
hilo,
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.George Simbachawene akiwa na Mkuu wa Mkoa wa
Singida Mhe. Halima Dendego pamoja na viongozi wengine mara baada
ya kuwasili kwa ajili ya kutembelea kituo cha usaili wa kada za Ualimu
Mkoani Singida ili kujionea mwenendo wa zoezi
hilo,
No comments:
Post a Comment