Lusungu Helela-Dodoma
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Deus Sangu amesema Mfumo wa upimaji wa utendaji kazi kwa Watumishi wa Umma ujulikanao kama PEPMIS utaendelea kujazwa kwa wiki kama ilivyopangwa.
Mhe. Deus Sangu amesema hayo Bungeni leo Jummane Januari 29, 2025 wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalumu, Mhe. Sophia Mwakagenda aliyetaka kujua kwa nini watumishi wa afya wasijaze ripoti za utendaji kila mwezi badala ya kila wiki ili wapate muda zaidi kuhudumia wagonjwa
No comments:
Post a Comment