Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu
Hassan akizungumza na viongozi na wananchi katika
Kijiji cha Monduli Juu, Wilayani Monduli wakati wa Ibada maalum ya
kumbukizi ya miaka 40 ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Serikali ya Awamu ya
Kwanza, Hayati Edward Moringe Sokoine.
Sehemu ya viongozi na wananchi wakisikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu
Hassan wakati wa Ibada maalaum ya kumbukizi ya miaka 40
ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Serikali ya Awamu ya Kwanza, Hayati Edward
Moringe Sokoine iliyofanyika Kijiji cha Monduli Juu, Wilaya ya Monduli.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.George Simbachawene akitoa maelezo ya awali kuhusu Ibada maalum ya kumbukizi ya miaka 40 ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Serikali ya Awamu ya Kwanza, Hayati Edward Moringe Sokoine kabla ya kumkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuzungumza katika Ibada hiyo iliyofanyika katika Kijiji cha Monduli Juu, Wilaya ya Monduli.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya
Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.George Simbachawene (kulia) akizungumza
jambo na Naibu Waziri wa Ofisi yake, Mhe. Ridhiwani
Kikwete kabla ya kuanza kwa Ibada maalum ya kumbukizi ya miaka 40 ya kifo cha
aliyekuwa Waziri Mkuu wa Serikali ya Awamu ya Kwanza, Hayati Edward Moringe
Sokoine iliyofanyika Kijiji cha Monduli Juu, Wilaya ya Monduli.
Katibu Mkuu, Ofisi ya
Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Juma Mkomi akitoa utambulisho wa
baadhi ya viongozi na wageni walioshiriki katika Ibada maalum ya kumbukizi ya miaka 40 ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa
Serikali ya Awamu ya Kwanza, Hayati Edward Moringe Sokoine kabla ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu
Hassan kuzungumza na viongozi na
wananchi katika Ibada hiyo iliyofanyika Kijiji cha
Monduli Juu, Wilaya ya Monduli.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya
Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.George Simbachawene akisaini kitabu mara
baada ya kuweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa Waziri Mkuu wa
Serikali ya Awamu ya Kwanza, Hayati Edward Moringe Sokoine katika Kijiji cha
Monduli Juu, Wilaya ya Monduli.
Katibu Mkuu, Ofisi ya
Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Juma Mkomi (kushoto) akifurahia
jambo na Mkurugenzi wa Idara ya Utawala
na Usimamizi wa Rasilimaliwatu, Bw. Musa Magufuli pamoja na Mkurugenzi Msaidizi
wa Utawala na Dawati la Viongozi Wakuu wa Kitaifa Wastaafu, Bi. Nyasinde Mukono
(katikati) kabla ya kuanza kwa Ibada maalum ya kumbukizi ya miaka 40 ya kifo
cha Waziri Mkuu huyo iliyofanyika katika Kijiji cha Monduli Juu, Wilaya ya
Monduli.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya
Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.George Simbachawene akiwasili nyumbani kwa
aliyekuwa Waziri Mkuu wa Serikali ya Awamu ya Kwanza, Hayati Edward Moringe
Sokoine wakati wa Ibada maalum ya kumbukizi ya miaka 40
ya kifo cha Waziri Mkuu huyo iliyofanyika katika Kijiji cha Monduli Juu, Wilaya
ya Monduli.
Naibu Waziri, Ofisi ya
Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akizungumza
na baadhi ya viongozi kabla ya kuanza kwa Ibada maalum ya kumbukizi ya miaka 40
ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Serikali ya Awamu ya Kwanza, Hayati Edward
Moringe Sokoine iliyofanyika Kijiji cha Monduli Juu, Wilaya ya Monduli.
Sehemu ya Wakurugenzi
wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI wakifuatilia jambo kabla ya kuanza kwa Ibada maalum ya
kumbukizi ya miaka 40 ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Serikali ya Awamu ya
Kwanza, Hayati Edward Moringe Sokoine iliyofanyika katika Kijiji cha Monduli
Juu, Wilaya ya Monduli.
No comments:
Post a Comment