Friday, April 19, 2024

BAJETI YA OFISI YA RAIS-UTUMISHI NA UTAWALA BORA 2024/25 YAWASILISHWA

 

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.George Simbachawene akiwasili Bungeni tayari kuwasilisha Hotuba ya Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2024/25.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.George Simbachawene akisalimiana na Katibu Mkuu-IKULU, Bw. Mululi Majula Mahendeka wakati akiwasili Bungeni tayari kuwasilisha Hotuba ya Bajeti ya ofisi hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2024/25.



No comments:

Post a Comment