Monday, December 4, 2023

MHE. GEORGE SIMBACHAWENE AKIZUNGUMZA NA VIONGOZI WA CHAMA CHA MAKATIBU MAHSUSI TANZANIA (TAPSEA)

 

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene akiongea na viongozi wa Chama cha Makatibu Mahsusi Tanzania (TAPSEA) katika ofisi yake ndogo Jijini Dar es Salaam tarehe 5 Disemba, 2023. Katikati ni Mwenyekiti wa chama hicho Bi. Zuhura Maganga na Katibu wake Bi. Aneth Mapima.


No comments:

Post a Comment