Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Mohamed Mchengerwa akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dodoma leo kuhusu mafanikio ya Serikali katika Utumishi wa umma na utawala bora tangu taifa lipate uhuru ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara.
Baadhi ya Waandishi wa Habari wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Mohamed Mchengerwa jijini
Dodoma leo wakati akieleza mafanikio ya Serikali katika Utumishi wa umma na
utawala bora tangu taifa lipate uhuru ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya maadhimisho
ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara.
Mwandishi wa Habari wa BBC, Bw. Abubakar Famau (mwenye kipaza sauti)
akimuuliza swali Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma
na Utawala Bora Mhe. Mohamed Mchengerwa (hayupo pichani) wakati akieleza
mafanikio ya Serikali katika Utumishi wa umma na utawala bora tangu taifa
lipate uhuru ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru
wa Tanzania Bara.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora, Mhe. Mohamed Mchengerwa akitoa ufafanuzi wa masuala ya kiutumishi kwa
waandishi wa Habari wakati wa mkutano wake uliofanyika leo Jijini Dodoma kuelezea mafanikio ya
Utumishi wa Umma tangu taifa lipate uhuru, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya
maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara.
Samahani nauliza mweshimwa alijibu swali kuhusu watumishi waliofukuzwa kazi kama washakizi vigezo mpaka 2020 wanaweza kurudi kazini je utaratibu upoje mm ni mmoja wao
ReplyDelete