Tuesday, January 7, 2020

WATUMISHI WA UMMA FANYENI KAZI KWA BIDII NA MAARIFA ILI KUFANIKISHA JUHUDI ZA JPM ZA KUKUZA UCHUMI-Dkt. Mary Mwanjelwa

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akizungumza na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida katika ziara yake ya kikazi, mkoani Singida.


Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida, Bw.Rashid Mandoa akijibu hoja za watumishi wakati wa kikao kati ya Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) na  watumishi  wa halmashauri hiyo kilichofanyika katika ukumbi wa Halmashauri mkoani Singida.

Baadhi ya watumishi wa Umma wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida wakimsikiliza Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) katika ziara yake ya kikazi mkoanI Singida.


Mlinzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida, Bw.Joseph  Ghaba akiwasilisha malalamiko yake wakati wa kikao kati ya Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) na watumishi  wa halmashauri hiyo kilichofanyika katika ukumbi wa Halmashauri mkoani Singida.

No comments:

Post a Comment