Monday, January 6, 2020

SERIKALI KUBORESHA HUDUMA ZA TASAF ILI KUPUNGUZA UMASKINI NCHINI


Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akizungumza na walengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini wa Halmashauri ya Manispaa ya Singida, Kijiji cha Mtipa .

Baadhi ya wanufaika wa TASAF wakimsikiliza Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) alipowatembelea katika Halmashauri ya Manispaa ya Singida, Kijiji cha Mtipa.


Mnufaika wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini Bi. Rebeca Mnyawi akitoa ushuhuda wa namna alivyonufaika na TASAF wakati wa ziara ya Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) katika Halmashauri ya Manispaa ya Singida, Kijiji cha Mtipa .

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akizungumza na mtoto wa Mnufaika wa TASAF Bi.Tatu Salim wa  Kijiji cha Mtipa katika Halmashauri ya Manispaa ya Singida.

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akitoka katika nyumba ya Mnufaika wa TASAF Bi. Tatu Salim wa  Kijiji cha Mtipa katika Halmashauri ya Manispaa ya Singida alipomtembelea kukagua  alivyonufaika na mradi wa TASAF.

No comments:

Post a Comment