Tuesday, September 25, 2018

WANUFAIKA WA TASAF KIJIJI CHA KITAGATA WAPONGEZWA KWA KUBORESHA MAISHA YAO NA KUTOA RAMBIRAMBI KWA WAHANGA WA AJALI YA KIVUKO CHA MV. NYERERE




Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb) akizungumza na wananchi na wanufaika wa TASAF, kijiji cha Kitagata Wilayani Kasulu alipowatembelea ili kujionea utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini nchini.

Baadhi ya wanakijiji na wanufaika wa TASAF wa kijiji cha Kitagata Wilayani Kasulu wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb) (hayupo pichani) alipotembelea kijiji hicho ili kujionea utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini nchini.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na watoto wa kijiji cha Kitagata Wilayani Kasulu ambao ni watoto wa mnufaika wa TASAF  alipokitembelea kijiji hicho ili kujionea utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini nchini.

No comments:

Post a Comment