Sunday, September 23, 2018

MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI ULIBUNIWA NA SERIKALI KWA LENGO LA KUPAMBANA NA UMASKINI NCHINI



Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb) akizungumza na wananchi na wanufaika wa TASAF, Kata ya Lusimbi, Manispaa ya Kigoma Ujiji alipowatembelea ili kujionea utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini nchini.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanufaika wa TASAF, Kata ya Lusimbi iliyopo Manispaa ya Kigoma Ujiji mara baada kuwatembelea wanufaika hao kwa lengo la kujionea utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini nchini.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na wanufaika wa TASAF mbele ya nyumba ya mganga wa zahanati iliyopo Kata ya Lusimbi, Kigoma Ujiji iliyojengwa kwa mchango wa wananchi na TASAF.

No comments:

Post a Comment