Friday, September 21, 2018

MHE. MKUCHIKA AWATAKA WATUMISHI WA UMMA NCHINI KUWA MSTARI WA MBELE KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA ILI KULIFIKISHA TAIFA KATIKA UCHUMI WA VIWANDA



Baadhi ya watumishi wa umma mkoani Kigoma wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb) katika kikao kazi chenye lengo la kuhimiza uwajibikaji na kuongeza tija katika kuwahudumia wananchi.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb) akizungumza na watumishi wa umma  mkoani  Kigoma kuhimiza uwajibikaji kwa lengo la kuboresha Utumishi wa Umma na kuongeza tija katika kuwahudumia wananchi.

No comments:

Post a Comment