Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam Bibi. Theresia Mmbando akizungumza na watumishi wa umma Tarafa ya Mbagala kabla ya kumkaribisha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mhe. Angellah J. Kairuki (kulia) leo wakati wa ziara yake katika tarafa ya Mbagala Wilaya ya Temeke Mkoa wa Dar es Salaam. |
Mkurugenzi Idara ya Utawala wa Utumishi wa Umma Bw. Issa Ng’imba akielezea shughuli zinazofanywa na idara yake wakati wa ziara ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mhe. Angellah J. Kairuki kusikiliza kero za watumishi wa umma leo katika tarafa ya Mbagala Wilaya ya Temeke Jijini Dar es Salaam. |
No comments:
Post a Comment