Wednesday, July 12, 2017

MHE. KAIRUKI AKUTANA NA WATUMISHI WA WILAYA YA KIGAMBONI

Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Mhe. Hashim Mgandilwa akitoa taarifa fupi ya watumishi wa wilaya yake kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb), (kulia) alipofanya ziara ya kikazi katika wilaya hiyo leo Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akizungumza na watumishi wa umma wa Wilaya ya Kigamboni (hawapo pichani) katika kikao kazi wakati wa ziara yake katika wilaya hiyo leo Jijini Dar es Salaam
Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Mhe. Hashim Mgandilwa akifafanua jambo wakati wa ziara ya kikazi ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) kuzungumza na watumishi wa umma na kutatua kero na kupokea maoni yao kuhusu utendaji kazi leo katika Wilaya ya Kigamboni Jijini Dar es Salaam.
Mganga Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Dkt. Bakari Mbwana akitoa hoja wakati wa ziara ya kikazi ya Waziri wa Nchi, OfisiyaRais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) kuzungumza na watumishi wa umma na kutatua kero zao leo katika Wilaya ya Kigamboni Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akifuatilia hoja zilizokua zikitolewa na watumishi wa umma wakati wa ziara ya kikazi leo katika Wilaya ya Kigamboni Jijini Dar es Salaam
Sehemu ya watumishi wa umma wa Wilaya ya Kigamboni walioshiriki katika kikao kazi na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) leo katika Wilaya ya Kigamboni Jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment