Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki
(Mb) akifafanua hoja mbalimbali alizopokea kutoka kwa watumishi wa umma wa
Halmashauri Manispaa ya Ilala – Tarafa ya Ukonga (hawapo pichani) wakati wa
kikao kazi na watumishi hao leo Jijini Dar es Salaam. Kulia kwake ni Mkurugenzi
wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, Bw. Msongela Palela na kushoto kwake ni
Katibu Tawala wa Halmashauri ya Wilaya ya Ilala, Bw. Edward Mpogolo.
|
No comments:
Post a Comment