Friday, May 1, 2026

MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI (MEI MOSI)

 Watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, leo tarehe 1 Mei, 2026 wameungana na watumishi wengine kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) yenye kauli mbiu isemayo “Kazi zenye Staha ni Nguzo Imara kwa Maendeleo Endelevu katika Utekelezaji wa Dira ya Taifa 2050” ambapo kimkoa yamefanyika katika viwanja vya Jamhuri Jijini Dodoma.

Watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, wakiwa tayari kuanza maandamano ya kuelekea viwanja vya Jamuhuri Jijini Dodoma katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi duniani.

Watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, wakiwa katika maandamano ya kuelekea viwanja vya Jamuhuri Jijini Dodoma katika maadhimisho  ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi).

Watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, wakiingia katika viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi).

Watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, wakiwa katika maandamano kuelekea viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi).

Watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, wakiwa viwanja vya Jamuhuri Jijini Dodoma katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi)

Watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, wakiwa katika maandamano ya kuelekea viwanja vya Jamuhuri Jijini Dodoma katika maadhimisho  
ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi).

Watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, wakiwa viwanja vya Jamuhuri Jijini Dodoma katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi)

No comments:

Post a Comment