Friday, March 29, 2019
Thursday, March 28, 2019
MHE. MKUCHIKA AMTEMBELEA RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI NA MAMA MARIA NYERERE IKIWA NI SEHEMU YA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YAKE
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa
Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George Mkuchika (Mb) akiteta jambo
na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Awamu ya Pili, Mhe. Ali
Hassan Mwinyi alipomtembelea nyumbani kwake jijini Dar es Salaam ikiwa ni
sehemu ya utekelezaji wa majukumu yake.
|
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George Mkuchika (Mb) akifafanua jambo kwa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Awamu ya Pili, Mhe. Ali Hassan Mwinyi alipomtembelea nyumbani kwake jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa majukumu yake. Kushoto ni Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb). |
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa
Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George Mkuchika (Mb) akizungumza
na watoto wa Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere alipomtembelea Mjane
wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere nyumbani kwake jijini Dar es Salaam ikiwa
ni sehemu ya utekelezaji wa majukumu yake. Wa kwanza kulia ni Andrew Nyerere na
wa kwanza kushoto ni Magige Nyerere. Wa pili kushoto ni Naibu Waziri, Ofisi ya
Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa
(Mb).
|
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa
Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George Mkuchika (Mb) akimsikiliza
Mjane wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere alipomtembelea nyumbani kwake jijini
Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa majukumu yake. Kulia ni Naibu Waziri, Ofisi ya
Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa
(Mb).
|
Afisa anayesimamia Dawati la Viongozi Wastaafu wa Kitaifa,
Bi. Nyasinde Mukono, akifafanua jambo kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George
Mkuchika (Mb) na Mjane wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere wakati wa ziara ya
kikazi ya Mhe. Mkuchika ya kuwatembelea Viongozi Wastaafu wa Kitaifa ikiwa ni
sehemu ya utekelezaji wa majukumu yake.
|
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa
Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George Mkuchika (Mb) akiagana na
Mjane wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere alipomtembelea nyumbani kwake jijini
Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa majukumu yake. Kulia ni Naibu Waziri, Ofisi ya
Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa
(Mb).
|
Wednesday, March 27, 2019
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AIPONGEZA OFISI YA RAIS - UTUMISHI KWA KUKAMILISHA UJENZI WA OFISI YAKE KWA WAKATI KWENYE MJI WA SERIKALI JIJINI DODOMA
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.
Kassim M. Majaliwa (Mb) akizungumza na baadhi ya viongozi na watumishi wa umma kwenye mji wa
serikali, mara baada ya kutembelea jengo jipya la Ofisi ya Rais, Menejimenti ya
Utumishi wa Umma na Utawala Bora
lililopo eneo la Mtumba jijini Dodoma.
|
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.
Kassim M. Majaliwa (Mb) akifurahia jambo mara baada ya kuzungumza na baadhi ya
viongozi na watumishi wa umma kwenye mji wa serikali, mara baada ya kutembelea
jengo jipya la Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora lililopo eneo la Mtumba
jijini Dodoma.
|
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.
Kassim M. Majaliwa (Mb) akiwa ndani ya ofisi ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George Mkuchika (Mb) iliyopo kwenye
mji wa serikali eneo la Mtumba jijini Dodoma. Kulia kwake ni Naibu Waziri,
Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary
Mwanjelwa (Mb) na Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa
Umma na Utawala Bora, Dkt. Francis Michael.
|
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa
Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akitoa neno la shukrani kwa
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim M. Majaliwa (Mb),
mara baada ya Mhe. Majaliwa kutembelea jengo jipya la Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora lililopo eneo la Mtumba jijini Dodoma.
|
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.
Kassim M. Majaliwa (Mb) na ujumbe wake wakiwasili katika jengo jipya la Ofisi
ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora lililopo kwenye mji wa
serikali eneo la Mtumba jijini Dodoma.
|
Muonekano wa jengo jipya la Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora.
|
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa
Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) na Naibu Katibu Mkuu, Ofisi
ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Francis Michael
wakifurahia jambo na viongozi wengine mara baada ya kukamilika kwa ziara ya
Mhe. Kassim M. Majaliwa ya kutembelea jengo jipya la Ofisi ya Rais, Menejimenti
ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora lililopo kwenye mji wa serikali eneo la
Mtumba jijini Dodoma.
|
Tuesday, March 26, 2019
Saturday, March 23, 2019
OFISI YA RAIS-UTUMISHI YAANDIKA HISTORIA YA KUWA TAASISI YA KWANZA KUZINDUA HUDUMA ZAKE KWENYE MJI WA SERIKALI JIJINI DODOMA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora, Mhe.
Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb) akikata utepe kuzindua rasmi ofisi yake iliyojengwa kwenye mji wa Serikali
jijini Dodoma kwa ajili ya kutoa huduma kwa wananchi. Naibu Waziri, Mhe. Dkt.
Mary Mwanjelwa (Mb) na Katibu Mkuu-Utumishi, Dkt. Laurean Ndumbaro wameshiriki tukio hilo.
|
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora, Mhe.
Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb) na
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa
Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) wakifurahia uzinduzi wa
ofisi yao iliyojengwa kwenye mji wa
serikali jijini Dodoma, mara baada ya Mhe. Mkuchika kuzindua ofisi hiyo.
|
Mwonekano wa jengo la Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na
Utawala Bora lililozinduliwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya
Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb) mara baada ya TBA kulikabidhi
jengo hilo.
|
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora, Mhe.
Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb) akizungumza na watumishi na vyombo vya habari mara baada ya kuzindua rasmi
ofisi yake iliyojengwa kwenye mji wa Serikali jijini Dodoma.
|
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora, Mhe.
Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb) akiwa kwenye ofisi yake iliyopo kwenye mji wa Serikali jijini Dodoma mara
baada ya kuizindua.
|
Mkurugenzi wa Ujenzi, Wakala ya Majengo Tanzania (TBA), Bw. Hamphrey Kilo
akiwasilisha taarifa ya ujenzi wa jengo
la Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb) (hayupo pichani) mara baada ya kumkadhi waziri huyo jengo hilo lililopo
kwenye mji wa serikali jijini Dodoma.
|
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora, Mhe.
Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb)
akimkabidhi hati ya kiwanja mtumishi wake Bi. Zena Makaye, mara baada ya waziri
huyo kuzindua rasmi ofisi yake iliyojengwa kwenye mji wa
Serikali jijini Dodoma.
|
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora, Mhe.
Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb)
akimkabidhi hati ya kiwanja Mkurugenzi Msaidizi wa Ofisi yake Bw. Peter Mhimba,
mara baada ya waziri huyo kuzindua rasmi ofisi
yake iliyojengwa kwenye mji wa Serikali jijini Dodoma.
|
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora, Mhe.
Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb)
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watumishi wa ofisi yake mbele ya
ofisi aliyoizindua ambayo imejengwa kwenye mji wa Serikali jijini Dodoma. Naibu Waziri, Mhe. Dkt.
Mary Mwanjelwa (Mb) na Katibu Mkuu-Utumishi, Dkt. Laurean Ndumbaro ni miongoni mwa waliojumuika katika picha
hiyo.
|
Subscribe to:
Posts (Atom)