Wednesday, July 4, 2018

MHE. MKUCHIKA AKUTANA NA BALOZI WA FINLAND NCHINI TANZANIA NA KUZUNGUMZIA MASUALA YA UTAWALA BORA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni (mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) akiagana na Balozi wa Finland nchini Tanzania, Mhe. Pekka HUKKA aliyefika ofisini kwake jijini Dar es Salaam kujitambulisha na kuzungumzia masuala ya utawala bora. Finland ni wadau wakubwa wa masuala ya utawala bora.

No comments:

Post a Comment