Thursday, June 28, 2018

MAKAMU WA RAIS KUSHIRIKI BONANZA LA SHIMIWI JIJINI DODOMA-TAARIFA KWA UMMA


Katibu Mkuu wa Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) Bw. Moshi Makuka akizungumza kuhusu maadalizi ya bonanza lililoandaliwa na SHIMIWI litakalofanyika siku ya Jumamosi tarehe 30 Juni, 2018 katika uwanja wa Jamhuri, jijini Dodoma. Mgeni Rasmi atakuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan.

No comments:

Post a Comment