Tuesday, June 26, 2018

SERIKALI YADHAMIRIA KUPAMBANA NA RUSHWA KWA KUTOA HUDUMA KUPITIA MIFUMO YA TEHEMA YA UTOAJI HUDUMA KWA UMMA



Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) akizungumza na wananchi siku ya kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwa mwaka 2018 katika viwanja vya Mwalimu Nyerere Square jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) akitoa maelezo ya utangulizi kumkaribisha Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) kuzungumza na wananchi siku ya kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwa mwaka 2018 katika viwanja vya Mwalimu Nyerere Square jijini Dodoma.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mifumo ya TEHAMA ya Serikali ya utoaji huduma kwa umma, siku ya kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwa mwaka 2018 katika viwanja vya Mwalimu Nyerere Square jijini Dodoma.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) akibofya kitufe kuzindua Mifumo ya TEHAMA ya Serikali ya utoaji huduma kwa umma, siku ya kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwa mwaka 2018 katika viwanja vya Mwalimu Nyerere Square jijini Dodoma.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) akikabidhi cheti cha kuzaliwa kwa Shukran George kwa niaba ya mtoto wake Magreth Msomba, siku ya kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwa mwaka 2018 katika viwanja vya Mwalimu Nyerere Square jijini Dodoma.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) akisalimiana na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Utumishi, Dkt. Laurean Ndumbaro siku ya kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwa mwaka 2018 katika viwanja vya Mwalimu Nyerere Square jijini Dodoma.


Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Utumishi, siku ya kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwa mwaka 2018 katika viwanja vya Mwalimu Nyerere Square jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment