Wednesday, July 4, 2018

MHE. MKUCHIKA AKUTANA NA VIONGOZI WA JUMUIYA YA WAISLAM WA AHMADIYYA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni (mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Jumuiya ya Waislam wa Ahmadiyya waliofika ofisini kwake kujitambulisha na kuelezea shughuli za kijamii wanazozifanya ambazo zinalenga masuala ya utawala bora. Wa kwanza kulia kwa Mhe. Mkuchika ni Amir na Mbashiri Mkuu wa Jumuiya ya Waislam  wa Ahmadiyya, Sheikh Tahir Mahmood Chaudhry na kushoto kwake ni Mkuu wa Chuo cha Ahmadiyya Tanzania, Sheikh Abid Mahmood Bhatti.

No comments:

Post a Comment