Thursday, July 5, 2018

SERIKALI YAITAKA WATUMISHI HOUSING COMPANY KUTOA KIPAUMBELE CHA UJENZI WA NYUMBA KATIKA MIKOA NA HALMASHAURI MPYA NCHINI



Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika akizungumza na watendaji wakati wa ziara yake ya kikazi ya kutembelea miradi ya ujenzi wa nyumba inayotekelezwa na Watumishi Housing Company (WHC) jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika akitembelea mradi wa ujenzi wa nyumba wa Gezaulole wakati wa ziara yake ya kikazi ya kutembelea miradi inayotekelezwa na Watumishi Housing Company (WHC) jijini Dar es Salaam.

Moja ya mradi wa ujenzi wa nyumba unatekelezwa na Watumishi HousingCompany (WHC) eneo la Gezaulole jijini Dar es Salaam

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika akizungumza na Mkurugenzi  wa  Watumishi Housing Company (WHC) Dkt. Fred Msema kuhusu utekelezaji wa mradi ya ujenzi wa nyuma (haipo pichani) katika eneo la Gezaulole jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika akisalimiana na mmoja wa wakandarasi wa kigeni wakati wa ziara yake ya kikazi ya kutembelea miradi ya ujenzi wa nyumba inayotekelezwa na Watumishi Housing Company (WHC) jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment