Saturday, July 7, 2018

WATUMISHI WA UMMA WAHIMIZWA KUWAJIBIKA KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA ILI KUHAKIKISHA TAIFA LINAFIKIA UCHUMI WA VIWANDA




Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika akizungumza na watumishi wa umma na wadau mbalimbali wa mapambano dhidi ya rushwa katika Siku Maalum ya Mapambano dhidi ya Rushwa, iliyoadhimishwa kwenye Maonesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara jijini Dar es Salaam.

Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Injinia Stella Manyanya (Mb) akizungumza na watumishi wa umma na wadau mbalimbali wa mapambano dhidi ya rushwa katika Siku Maalum ya Mapambano dhidi ya Rushwa, iliyoadhimishwa kwenye Maonesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Bw. Valentino Mlowola akieleza majukumu ya TAKUKURU dhidi ya rushwa katika Siku Maalum ya Mapambano dhidi ya Rushwa, iliyoadhimishwa kwenye Maonesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara jijini Dar es Salaam.

Watumishi wa Umma na wadau mbalimbali wa mapambano dhidi ya rushwa wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika (hayupo pichani)  katika Siku Maalum ya Mapambano dhidi ya Rushwa, iliyoadhimishwa kwenye Maonesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika akiwa na baadhi ya viongozi katika meza kuu katika Siku Maalum ya Mapambano dhidi ya Rushwa, iliyoadhimishwa kwenye Maonesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika akibadilishana mawazo na mmoja wa wadau  wa maendeleo katika Siku Maalum ya Mapambano dhidi ya Rushwa, iliyoadhimishwa kwenye Maonesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment