Wednesday, November 8, 2017

DTK. NDUMBARO AWATAKA WAAJIRI KUTOZUIA UHAMISHO WA WATUMISHI WA UMMA BILA SABABU ZA MSINGI



Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga akiwa katika siku ya pili ya ziara yake ya kikazi ya kuhimiza uwajibikaji mkoani Ruvuma. 

Baadhi ya watumishi wa Hamashauri ya Wilaya ya Mbinga wakisikiliza Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro (hayupo pichani) akiwa katika siku ya pili ya ziara yake ya kikazi ya kuhimiza uwajibikaji mkoani Ruvuma. 

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mji wa Mbinga, Bw. Robert Mageni akitoa taarifa ya utekelezaji wa masuala ya kiutumishi kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akiwa katika siku ya pili ya ziara yake ya kikazi ya kuhimiza uwajibikaji mkoani Ruvuma. 

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akitoa ufafanuzi wa masuala ya kiutumishi kwa  watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga akiwa katika siku ya pili ya ziara yake ya kikazi ya kuhimiza uwajibikaji mkoani Ruvuma. 

No comments:

Post a Comment