Balozi wa China
nchini Tanzania aliyemaliza muda wake, Dr.Lu Youqing (kulia), akimsikiliza Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.
Angellah J. Kairuki (Mb) alipokwenda kumuaga ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Wengine ni watumishi walioambatana na Balozi.
|
No comments:
Post a Comment