Add caption |
Pumzika kwa Amani mpendwa wetu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mhe. Celina O. Kombani (pichani). |
Kaimu
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. HAB Mkwizu na
watumishi wote wa Ofisi ya Rais-Utumishi wataendelea kukukumbuka daima kwa
busara zako na uongozi wako mzuri.
No comments:
Post a Comment