MAPOKEZI YA MWILI WA ALIYEKUWA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS-UTUMISHI MHE. CELINA O. KOMBANI (MB)
Mwili
wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Utumishi Mhe. Celina O. Kombani (Mb)
ukipokelewa katika Kiwanja cha ndege cha Mwalimu J.K Nyerere mara baada ya
kuwasili kutoka nchini India jana jioni.
Baadhi
ya Watumishi wa Ofisi ya Rais-Utumishi wakiwa na waombolezaji wengine
wakisubiri kuupokea mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Utumishi
katika Kiwanja cha Mwalimu J.K Nyerere jana jioni.
No comments:
Post a Comment