Makamu wa Rais wa Serikali ya Awamu ya Nne ya Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Ghalib Bilali (wa
tano kutoka kulia) akiwa na Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda (wa nne kutoka
kulia) wakishiriki ibada ya kuuaga Mwili wa marehemu Mhe. Celina O.
Kombani (Mb) Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma
iliyofanyika katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro.
|
No comments:
Post a Comment