Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala
wa Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA) Bw. Charles Y. Senkondo (kulia),
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya Rais - Utumishi Bw. Florence
Temba (katikati) na Mratibu wa Mafunzo wa TaGLA Bw. Dickson Mwanyika (kushoto)
wakishiriki mkutano kwa njia ya video (Video Conference) uliofanyika kwa
kushirikiana na Kenya School of Government. Wengine ni Waandishi wa Habari
kutoka katika Vyombo mbalimbali vya habari nchini.
|
No comments:
Post a Comment