Kaimu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya
Utumishi wa Umma Bw. HAB Mkwizu anasikitika kutangaza kifo cha Bw. Yakalawa
Kondo – Msaidizi wa Ofisi Mkuu wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa
Umma (Pichani) kilichotokea tarehe 21.09.2015 saa 3 usiku katika Kituo cha Afya
cha Vijibweni - Kigamboni. Mazishi yalifanyika tarehe 22.09.2015 saa 10 jioni
katika makaburi ya Tungi Shule – Kigamboni.
“Mungu
ailaze Roho ya Marehemu Mahala Pema
Peponi, Amen”
|
No comments:
Post a Comment