Katibu Mkuu Mstaafu Ofisi
ya Rais - Utumishi Bw. George D. Yambesi (aliyesimama) akizungumza katika
hafla ya kuagwa iliyofanyika viwanja vya Leaders Club.
|
Baadhi ya watumishi wa
Taasisi zilizo chini ya Ofisi ya Rais-Utumishi wakiwa katika hafla ya kumuaga Katibu Mkuu Mstaafu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. George D. Yambesi iliyofanyika
Leaders Club.
|
No comments:
Post a Comment