Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akifungua
Kongamano la Wiki ya Utumishi wa Umma katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano
cha Mwalimu Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam.
|
Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu Balozi Dr. Matern
Lumbanga akitoa Mada kuu ya utangulizi katika Kongamano la Wiki ya Utumishi wa
Umma.
|
Mwenyekiti wa Kongamano, Katibu Mkuu Mstaafu Bw.
George D. Yambesi, akitoa maelekezo kuhusu mada zilizowasilishwa wakati
akiongoza kongamano la Wiki ya Utumishi wa Umma 2015.
|
Kaimu Katibu Mkuu-Utumishi Bw. HAB Mkwizu akitoa neno
la shukrani baada ya ufunguzi wa Kongamano la Wiki ya Utumishi wa Umma.
|
Sehemu ya washiriki vijana "Young Professional" wakisikiliza maelekezo wakati wa Kongamano la Wiki ya Utumishi wa Umma. |
No comments:
Post a Comment