Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais-Utumishi Mh. Celine O. Kombani (Mb) (aliyenyanyua kitabu) akiwasilisha
mpango wa mwaka 2015/16 katika kikao cha Kamati ya kudumu ya Bunge ya
Katiba,Sheria na Utawala Bora kilichofanyika mwishoni mwa wiki kwenye ofisi
ndogo za Bunge. Kulia kwake
ni Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Utawala Bora Mh.George H. Mkuchika (Mb) na kushoto
kwake ni Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais,Mahusiano na Uratibu Mh. Dkt.Mary Nagu. (Mb)
|
No comments:
Post a Comment