Waziri wa Fedha Mhe.
Saada Mkuya Salum (Mb) (kushoto) akikabidhi tuzo ya utendaji uliotukuka katika
eneo la ununuzi wa umma kwa Mkurugenzi wa Kitengo cha Ununuzi na Ugavi Ofisi ya
Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw.Samson Akyoo (kulia) katika Maadhimisho
ya miaka 10 ya PPRA yaliyofanyika ukumbi wa Diamond
Jubilee jana.Wengine ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya PPRA Balozi Martin Lumbanga (wa pili kutoka kushoto) na
Mtendaji Mkuu Mstaafu wa PPRA Dkt. Ramadhani Mlinga (wa pili
kutoka kulia).
|
No comments:
Post a Comment