Tuesday, May 5, 2015

UTUMISHI YAFANYA MKUTANO WA BARAZA LA WAFANYAKAZI


Kaimu Katibu Mkuu - Utumishi Bw.HAB Mkwizu (aliyesimama)  akifungua mkutano  wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma katika ukumbi wa hoteli ya J.B Belmonte mapema leo. Kulia kwake ni Katibu wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi Bi.Lilian Denis.
Kaimu Katibu Mkuu - Utumishi Bw.HAB Mkwizu (aliyesimama)  akifungua mkutano wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma uliofanyika hoteli ya J.B Belmonte mapema leo. Wengine ni wajumbe wa baraza la wafanyakazi la Utumishi.
Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi wakiwa katika mkutano  wa Baraza la wafanyakazi uliofanyika hoteli ya J.B Belmonte mapema leo.


Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw.Aloyce Msigwa (aliyesimama) akichangia mada katika mkutano wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma uliofanyika hoteli ya J.B Belmonte mapema leo.
Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi wakifuatilia mada katika mkutano  wa Baraza la Wafanyakazi uliofanyika hoteli ya J.B Belmonte mapema leo.


No comments:

Post a Comment