Waziri wa Afya na Utalii wa Australia Mh. Dkt. Kim Hames akizungumza wakati wa uzinduzi wa Umoja wa Watanzania waliosoma nchini Australia (TAAA) jijini Dar es Salaam leo. |
Rais wa Umoja wa Watanzania waliosoma nchini
Australia (TAAA) Bw. Francis Mhimbila akizungumza wakati wa uzinduzi wa
Umoja huo uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.
|
No comments:
Post a Comment