Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi
wa Umma wakiwa katika maandamano ya kuadhimisha Siku ya Mfanyakazi Duniani
Meimosi, 2015 yaliyofanyika kimkoa jijini Dar es Salaam.
|
Wafanyakazi wakiimba wimbo
wa mshikamano katika maadhimisho ya Siku ya Mfanyakazi Duniani Meimosi, 2015
yaliyofanyika kimkoa Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
|
Wafanyakazi wa Ofisi ya
Rais-Utumishi wakiimba wimbo wa mshikamano katika maadhimisho ya Siku ya
Mfanyakazi Duniani Meimosi, 2015 yaliyofanyika kimkoa Uwanja wa Uhuru jijini
Dar es Salaam.
|
No comments:
Post a Comment