Thursday, April 20, 2023

BUNGE LAPITISHA BAJETI YA OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024

 

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akitolea ufafanuzi hoja za Wabunge wakati wa kuhitimisha uwasilishaji wa Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi yake kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024.

Sehemu ya Wabunge wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene alipokuwa akijibu hoja za wabunge hao wakati wa kuhitimisha mjadala wa Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi yake kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024.

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akijibu hoja za Wabunge wakati wa kuhitimisha mjadala wa Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024.


Bottom of FormWaziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene na Naibu Waziri wake Mhe. Ridhiwani Kikwete wakifuatilia michango ya Wabunge wakati wa kuhitimisha mjadala wa Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024.




No comments:

Post a Comment