Thursday, June 13, 2019

TANZANIA KURATIBU MAADHIMISHO YA SIKU YA UTUMISHI WA UMMA BARANI AFRIKA KWA MWAKA 2019



Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt (Mst) Mhe. George Mkuchika (Mb), akizungumza na vyombo vya habari jijini Dododma kuhusu Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwa mwaka 2019. Kulia ni Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa

Baadhi ya Waandishi wa Habari wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt (Mst) Mhe. George Mkuchika (Mb), alipokuwa akizungumza nao kuhusu Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwa mwaka 2019

No comments:

Post a Comment