Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya
Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb) akiangalia
moja ya bidhaa iliyotengenezwa na mnufaika wa Mfuko wa Rais wa Kujitegemea
(PTF) wa kikundi cha Pamoja, kata ya Gangilonga mkoani Iringa wakati wa ziara
yake ya kikazi mkoani humo yenye lengo la kuzungumza na watumishi wa umma na
kutembelea miradi inayotekelezwa na taasisi zilizo chini ya ofisi yake.
Sunday, October 28, 2018
SERIKALI YAWATAKA WATUMISHI WA UMMA WILAYANI KILOLO KUISHI MAENEO WANAYOFANYIA KAZI ILI KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO IPASAVYO
Friday, October 26, 2018
SERIKALI YAWATAKA WATUMISHI WA UMMA KUACHA TABIA YA KUOMBA UHAMISHO PINDI WANAPOAJIRIWA KATIKA MAENEO YENYE UPUNGUFU WA WATUMISHI
Subscribe to:
Posts (Atom)