Waziri wa
Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt.
(Mstaafu.) Mhe. George Mkuchika (Mb) akitoa taarifa Bungeni kuhusu uamuzi wa
Serikali wa kuwarejesha kazini Watendaji wa Vijiji na Mitaa walioajiriwa kabla ya tarehe 20 Mei, 2014
na watumishi 1,370 waliolegezewa masharti ya muundo na Mkuu wa Utumishi wa
Umma.
|
No comments:
Post a Comment