Monday, April 16, 2018

MHE. MKUCHIKA AWAELEKEZA WAAJIRI SERIKALINI KUTOKWAMISHA UHAMISHO WA WATUMISHI WA UMMA



Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mstaafu.)  Mhe. George Mkuchika (Mb) akijibu hoja za wabunge wakati akihitimisha Hotuba ya Bajeti ya Ofisi yake kwa Mwaka wa Fedha 2018/19.
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania likijadili hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora kwa Mwaka wa Fedha 2018/19 iliyowasilishwa Bungeni  na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mstaafu.)  Mhe. George Mkuchika (Mb).





No comments:

Post a Comment