Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya Rais-UTUMISHI Bw. Florence Temba (katikati) akizungumza na waandishi wa habari kwenye mkutano uliofanyika Idara ya Habari - MAELEZO mapema leo. |
Waandishi wa habari wakifuatilia mada. |
Mkurugenzi Idara ya Uchambuzi na Ushauri wa Kazi Bw. Micky Kiliba (kushoto) akijibu maswali ya waandishi wa habari kwenye kikao kilichofanyika Idara ya Habari - MAELEZO mapema leo. |
|
No comments:
Post a Comment