Mkurugenzi Idara ya Uchambuzi na Ushauri Kazi Bw. Mick Kiliba (katikati) akifungua kikao kuhusu Ufuatiliaji wa Mifumo na Viwango vya Taasisi za Umma nchini kilichofanyika ukumbi wa Utumishi. |
Wawakilishi kutoka Taasisi mbalimbali za Umma nchini wakifuatilia mada. |
Mkurugenzi Msaidizi Bi. Veila Shoo akiwasilisha matokeo kuhusu Ufuatiliaji wa Mifumo na Viwango vya kwa Taasisi za Umma nchini, wanaomsikiliza ni sehemu ya wawakilishi kutoka katika Taasisi za Umma. |
No comments:
Post a Comment