Friday, May 6, 2016

Ofisi ya Rais-Utumishi yazungumzia kuhusu Ahadi ya Uadilifu kwa watumishi wa umma

Mtangazaji wa kipindi cha Rushwa ni Adui wa Haki Bi. Miriam Chisoro (kushoto) akizungumza na Mkurugenzi wa Idara ya Ukuzaji wa Maadili wa Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. Mathew Kirama (kulia) wakati  wakijadili mada kuhusu Ahadi ya Uadilifu  kwa watumishi wa umma ofisini kwa mkurugenzi huyo.

Mkurugenzi wa Idara ya Ukuzaji wa Maadili wa Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi  wa Umma Bw. Mathew Kirama (kulia) akisisitiza umuhimu wa utekelezaji wa Ahadi ya Uadilifu kwa watumishi wa umma wakati wakijadili mada hiyo na Mtangazaji  wa kipindi cha Rushwa ni Adui wa Haki Bi.Miriam Chisoro (kushoto) ofisini kwa mkurugenzi huyo. 

Mkurugenzi wa Idara ya Ukuzaji wa Maadili wa Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi  wa Umma Bw. Mathew Kirama (kulia) akitoa ufafanuzi kuhusu umuhimu wa utekelezaji wa Ahadi ya Uadilifu kwa watumishi wa umma wakati wakijadili mada hiyo na Mtangazaji  wa kipindi cha Rushwa ni Adui wa Haki Bi.Miriam Chisoro ofisini kwa mkurugenzi huyo.

No comments:

Post a Comment