Mwenyekiti wa SHIMIWI Taifa Bw.Daniel Mwalusamba (wa pili
kutoka kulia) akimvisha medali ya
dhahabu mshindi wa kwanza wa mbio za baiskeli kwa wanaume kutoka Utumishi, Hassan Ligoneko (kushoto) mara
baada ya kumalizika kwa mbio hizo mjini Morogoro leo. Wengine ni viongozi wa
SHIMIWI Taifa wakishuhudia.
|
No comments:
Post a Comment