| Mgeni Rasmi Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI akifungua Kongamano la Miaka 50 ya Muungano katika Utumishi wa Umma 2014 katika Kituo cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere mapema leo. |
Thursday, June 19, 2014
KONGAMANO LA MIAKA 50 YA MUUNGANO KATIKA UTUMISHI WA UMMA LAFUNGULIWA RASMI LEO
Tuesday, June 17, 2014
SERIKALI YAAGA WATAALAMU 9 WA KUJITOLEA KUTOKA NCHINI JAPAN
| Mmoja kati ya Wataalamu wa kujtolea kutoka Japan Bi. Maiko Shimizu akieleza mafanikio ya kazi alizokua akifanya mkoani Dar es Salaam. |
| Mmoja kati ya Wataalamu wa kujtolea kutoka Japan Bw.Yoshiharu Kamata akieleza mafanikio ya kazi alizokua akifanya mkoani Mbeya. |
| Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. HAB Mkwizu akimkabidhi zawadi mmoja wa Wataalamu wa Kujitolea kutoka nchini Japan waliomaliza muda wao hapa nchini Bi.Maiko Shimizu. |
Monday, June 16, 2014
MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2014 YAFUNGULIWA RASMI LEO
|
Subscribe to:
Posts (Atom)